OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA KWA Tsh.30,000/= Tu.
Ofa hii Unaipata Kwenye Vituo Mshiriki wa Afya Fity Healthcare kwa Kuweka Nafasi hapa.

Msingi wa Afya ya Familia
Afya Fity Healthcare Dr. Huu


Afya Fity Healthcare β Msingi wa Familia Yenye Afya
Lishe sahihi ni msingi mama wa familia imara. Tunazingatia mlo wenye viambata stahiki ili kuzuia maradhi sugu yanayoathiri mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume. Kwa kutumia virutubisho sahihi na elimu ya afya ya akili, tunajenga mazingira salama ya mawasiliano ndani ya familia β msingi wa maendeleo na suluhisho la changamoto za kijamii.
Afya ya akili,
uzazi, na
lishe bora
β Ni nguzo tatu tunazojenga kwa utaalam na kujali.
π©βπ§βπ¦ Afya ya mama ni afya ya jamii. Afya Fity inasimama pamoja na familia yako β kwa kesho yenye afya.
Mlo sahihi + virutubisho stahiki = familia yenye kinga, mawasiliano bora, na uzazi salama. Afya Fity Healthcare β Pamoja zaidi kwa kesho yenye afya.
#AfyaYaMamaNaMtoto #LisheBora #AfyaFity